Waziri wa Maji, Mh. Jumaa Aweso akishirikiana na viongozi wa Bodi ya Bonde la Wami/Ruvu kusafisha mto ili kuruhusu maji kupita kwa urahisi ili kuingia kwenye mto Ruvu na kupunguza makala ya mgao wa maji kwa wakazi wa Pwani na Dar es Salaam.
Afisa Maji, Halima Faraji akitazama jinsi maji yalivyopungua katika Mto Ruvu kutokana na kukauka maji.
Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu imekabidhi Ofisi ya Jumuiya ya Watumia Maji katika Bonde dogo la Tami/Msowero wilayani Kilosa Mkoa wa Morogoro.
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, akizungumza na Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu Mhandisi Elibariki Mmasi baada ya kutembelea banda la bodi hiyo Jijini Dodoma katika maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani.
Wanafunzi Wa Chuo Cha Mipango Na Cbe Tawi La Dodoma, Wakipewa Elimu Kuhusu Shughuli Mbalimbali Zinazofanywa Na Bodi Ya Maji Bonde La Wami Ruvu Na Mhandisi John Kassambili.
Wami/Ruvu Basin is one of the nine River and Lake Basins of Tanzania established under Water Act No. 42 of 1974 of Water Utilization (Control and Regulations) with its amendments No. 10 of 1981. The newly established Water Resources Management Act Number 11 of 2009 repeals the fore mentioned Acts. The basin was established in July 2002, and it operates under the Wami/Ruvu Basin Water Board and the overall in charge is the Water Officer who is also the secretary of the Board.
Vision
Basin water resources sustainably managed for the socio-economic and environmental needs, interests, and priorities of the basin population.
Mission
To facilitate efficiently and effectively the implementation of Integrated Water Resources Management in order to address the resource needs, interests and priorities of the Basin population while protecting and conserving the water resources.