Huu ni mradi unaoendelea kujengwa katika mkoa wa Morogoro kwa ajili ya wafugaji kuweza kutumia kuogeshea mifugo yao na kuepuka kuchafua maji ya mto ambayo ni chanzo kikuu cha upatikanani wa maji katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani.