Uhaba wa maji huenda ukaikumba miji ya Dar es Salaam na Pwani katika kipindi cha miezi miwili ijayo, ambapo kujitokeza kwa changamoto hiyo ni baada ya kupungua kwa kina cha maji katika mto Ruvu amb
SERIKALI wilayani Kilosa Mkoa wa Morogoro, imesema wakati huu ambapo dunia inakabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, ipo haja dhana ya utunzaji shirikishi wa vyanzo vya maji ikapewa kipaum
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametembelea Banda la Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu kwenye maonesho ya Wiki ya Mazingira Duniani ambayo kilele chake ni leo Juni 05,2021, ambapo Makamu wa Rais wa Jamhu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Phillip Mpango akiwasili katika Viwanja vya Ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Mjini Dodoma.
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Selemani Jafo, amesema  takwimu zinazotolewa na Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu ni Muhimu kwa Sababu zimekuwa zikiisaidia Serikali husus
Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Maji Bonde la Wami-Ruvu Mhandisi, Elibariki Mmasi mapema leo Mei 28,2021 ameambatana na wataalam wa Bodi hiyo kwenye studio za Radio Abood.  
Bodi ya Maji Bonde la Mto Wami/Ruvu imetoa mashine za kufyatulia matofali ya Interlock kwa Jumuiya ya watumia maji ya Mgeta Juu A mkoani Morogoro.
Serikali ya Tanzania imetiliana saini mkataba wa mkopo wa masharti nafuu wa shilingi bilioni 175.6 kati yake na Shirika la maendeleo la Ufaransa (AFD) kwa ajili ya miradi ya maji safi na majitak
Serikali imepiga marufuku uchimbaji mchanga, kilimo na ujenzi wa makazi katika vyanzo vya maji ili kukabiliana na uharibifu wa kingo za mito na kusababisha mafuriko ya mara kwa mara Tegeta,
BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imetangaza zabuni ya kumpata mshauri elekezi atakayefanya utafiti jinsi ya kuvuna maji ya mvua ili kuyahifadhi katika chanzo cha maji cha Mzakwe Makutupora a

Pages