• Careers
  • Contact
Home
  • Home
  • About us
    • History
    • Mission / Vision and Values
    • Board of Directors
    • Cachement Committee
    • Management
    • Organisation Structure
    • WRBWB Functions
    • Section/ Unit
      • Administration
      • Community Development
      • Head of Water Resources Assessment & Monitoring
      • Water Monitoring
      • Water Planning
      • Water Protection
  • Projects
    • Completed Projects
    • Ongoing Projects
  • Media Centre
    • News and Events
    • Photos
    • Videos
    • Announcements
    • Press Releases
  • Resources
    • Application Forms
    • Reports
    • Brochures
    • Policies & Act
    • Regulations
  • Contact us

Photo Gallery

Waziri wa Maji, Mh. Jumaa Aweso na Kaimu Afisa Maji Bodi ya Bonde la Wami/Ruvu, pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Morogoro wamefanya ziara ya kutembelea vyanzo vya maji.
Bodi ya Bonde la Wami Ruvu imefanya ukaguzi wa njia ya maji yanayoingia Mto Ruvu kufuatia agizo la Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kufatilia njia hizo ili kupunguza makali ya mgao wa maji.
Uhaba wa maji huenda ukaikumba miji ya Dar es Salaam na Pwani katika kipindi cha miezi miwili ijayo, ambapo kujitokeza kwa changamoto hiyo ni baada ya kupungua kwa kina cha maji katika mto Ruvu ambao unasambaza maji kwa Wananchi wa mikoa hiyo miwili.
BODI YA MAJI BONDE LA WAMI RUVU YAWAKUTANISHA WADAU WA MAJI KUJADILI MATUMZI SAHIHI YA MAJI
Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu imekabidhi Ofisi ya Jumuiya ya Watumia Maji katika Bonde dogo la Tami/Msowero wilayani Kilosa Mkoa wa Morogoro.
Mkurugenzi wa Rasilimali za maji kutoka Wizara ya Maji, Dkt George Lugomela ametembelea Banda la Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu.

Pages

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • next ›
  • last »

News & Events

  • Tahadhari kupungua kina cha Maji Mto Ruvu
  • Serikali yapigia chapuo dhana ya utunzaji shirikishi rasilimali za maji

Resources

  • Application Forms
  • Act & Policies
  • Regulations
  • Reports

Projects

  • Mradi wa kunusuru vyanzo vya maji kupitia matumizi bora ya ardhi
  • Mradi wa ujenzi wa Majosho ya mifugo

Get to Know Us

  • Board of Directors
  • Management Team
  • Our Partners

What’s New

  • News and Events
  • Photos
  • Videos

Useful Links

WARIDI
Ministry of Water
DAWASA

Connect

  • Sitemap
  • Contact us

© Wami Ruvu Water Board. All Right Reserved.