Akiwa katika studio hizo ameeleza umuhimu wa ulipaji wa ada za matumizi ya maji ya kibiashara katika kulinda na kutunza vyanzo vya maji katika bodi hilo.

Umuhimu huo ni pamoja na kuunda jumuiya za watumia Maji, upandaji wa miti rafiki na Maji, kujua takrimu sahihi za wingi wa maji juu na chini ya Ardhi.