Bodi ya Bonde la Wami Ruvu imefanya ukaguzi wa njia ya maji yanayoingia Mto Ruvu kufuatia agizo la Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kufatilia njia hizo ili kupunguza makali ya mgao wa maji.
Contact us
Wami Ruvu Basin Water Board
Plot #802, Msamvu
P. O Box 826
Morogoro, Tanzania.