The Wami/Ruvu Basin Water Board enables the brick making machine for the Mgeta Juu A Water Users Association.

The machine has been provided through the second phase of the water sector development project (Water Sector Supporting project WSSP 11) and through the machine it will enable the community members to build their office as well as be a source of income that will enable them to get money for self-management and management of Water Resources in the area.

English

Bodi ya Wami/Ruvu yawawezesha mashine ya kufyatua matofali Jumuiya ya Mgeta Juu A

Mashine hiyo imetolewa kupitia mradi wa uendelezaji wa sekta ya maji awamu ya pili (Water Sector Supporting project WSSP 11) na kupitia mashine hiyo itawawezesha wanajumuiya hao kufyatua tofali za kujenga Ofisi yao pamoja na kuwa chanzo cha mapato kitakachowawezesha kupata fedha kwa ajili ya kujiendesha na usimamizi wa Rasilimali za Maji katika eneo hilo.

Swahili
Subscribe to RSS - Completed Projects