Dira

Kuwa Bonde lenye mazingira safi na kijani linalotunza na kuendeleza vyanzo vya maji kwa maendeleo ya binadamu kijamii na kiuchumi yanayostahimili majanga yasababishwayo na maji.

Wajibu
Kuratibu kwa ufanisi mipango na utekelezaji wa pamoja wa utunzaji na uendelezaji wa vyanzo vya maji ili kufikia maendeleo endelevu, jumuishi na stahmilivu ya Bonde.