- Kuandaa mipango ya usimamizi wa maji, bajeti na mikakati ya utekelezaji.
- Kuzuia uchafuzi na uharibifu wa vyanzo vya maji.
- Kuandaa taarifa za hali halisi ya maji.
- Kutatua migogoro ya maji.
- Kuhamasisha /kutoa elimu juu ya usimamizi wa pamoja wa rasilimali maji.
- Kuidhinisha /kufuta vibali vya matumizi ya maji na utupaji majitaka.