KAZI ZA JUMUIYA ZA WATUMIA MAJI
- Kuhifadhi, kulinda na kusimamia vyanzo vyote vya maji kama mito, visima, mabwawa, maji ya bomba, chemchemi na mazingira kwa ujumla katika eneo la Jumuiya.
- Kusimamia na kufuatilia matumizi ya maji yaliyoidhinishwa na Bodi ya Maji ya Bonde la Wami/RuvuĀ
- Kutatua migogoro ya matumizi ya maji
- Kukusanya ada za matumizi ya maji kwa niaba ya Bodi