Image: 

Makamu wa Rais Mhe. Dkt Philip Mpango amefungua rasmi Mkutano wa nane wa mwaka wa Bodi za Maji za Mabonde unaofanyika jijini Mbeya wenye kaulimbiu isemayo “Utunzaji endelevu wa vyanzo vya maji kwa ustawi wa jamii na ukuaji wa uchumi”.
Pia Dkt Mpango ametoa maagizo kwa wakuu wa mikoa wote nchini, viongozi wa chama na serikali kushirikiana na kusimamia kikamilifu zoezi la uwekaji wa mipaka kwenye maeneo yote ya vyanzo vya maji yaliyoanishwa na kuwataka wananchi wote waliojenga katika vyanzo vya maji hususani milimani wapatiwe maeneo mengine ya kujenga na waondoke katika maeneo hayo mara moja.

“Wakuu wa mikoa mkachukue hatua thabiti na kukomesha uharibifu wa mazingira katika mikoa yen una mamlaka za mabonde za maji mkatekeleze agizo hili kwa sharia zilizowekwa” Dkt. Mpang

Event Date: 
08/11/2022