• Kusanya, kuchambua na kuchakata takwimu kwa ajili ya usimamizi endelevu wa rasilimali za maji chini ya ardhi
  • Tunatathmini, kuhuisha na kusasisha takwimu na taarifa kuhusu upatikanaji wa rasilimali za maji chini ya ardhi
  • Tunajenga na kufunga mitandao ya ufuatiliaji wa maji chini ya ardhi
  • Tunafanya uchunguzi wa kijiolojia na kijiofizikia wa maji chini ya ardhi ili kupata maeneo yanayoweza kuchimba visima katika bonde, kuchukua sampuli na kupima kiwango cha maji na ubora wake
  • Kufuatilia kazi za wakandarasi wa visima ili kutekeleza sheria, kanuni na miongozo husika kuhusu vibali vya shughuli hizo