Dkt Mpango anahudhuria kilele cha Wiki ya mazingira Duniani, ambapo Bodi ya maji katika Bonde la Wami Ruvu inashiriki kwa lengo la kutoa Elimu kwa Wananchi kuhusiana na majukumu yake na umuhimu wa
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Selemani Jafo, amesema  takwimu zinazotolewa na Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu ni Muhimu kwa Sababu zimekuwa zikiisaidia Serikali husus

Pages